MASHABIKI WA LEICESTER WAWAITA WACHEZAJI WAO NJOKA



Pamoja na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Liverpool  mashabiki wa Leicester City wameiwaita wachezaji wao ni nyoka.

Mashabiki wanaonyesha kuchukizwa baada ya kuanza kushinda mara tu baada ya kufukuzwa kwa Kocha, Claudio Ranieri

0 comments: