ATLETICO MADRID YAITUPA NJE BERYEN LEVERKUSEN CHAMPIONS LEAGUE.

Atletico Madrid wameingia robo fainali ya ligi ya mabigwa Ulaya baada ya mchezo wao dhidi ya Bayer Leverkusen kumalizika kwa sare ya 0-0.
Atletico walimaliza kazi yao katika mchezo wa kwanza kwa kupata ushindi wa mabao 4-2.
Droo ya robo fainali itatangazwa siku ya Ijumaa.

0 comments: