CHELSEA KUCHEZA NA TOTTENHAM, ARSENAL NA MAN CITY KOMBE LA FA.

Baada ya kuwatoa Manchester United kwa goli 0-1, Chelsea watakutana na Tottenham katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la FA.
Michezo huo utachezwa tarehe 22 mwezi Aprili kwenye uwanja wa Wembley.
Nusu fainali nyingine ni kati ya Arsenal watakaocheza na Manchester City Aprili 23.

0 comments: